Zito Kabwe aaga Ukapela.

0
856

Zito Kabwe achaana na ukabera na kufunga ndoa jijini leo.

Sasa ni Mr. & Mrs, mbunge wa kigoma mjini na kiongozi mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amemuoa mpenzi wake aliyemvisha pete ya uchumba miezi miwili iliyopita.

Ndoa na tafrija zote zimefanyika Zanzibar.

IMG-20160714-WA0118 (4)

NO COMMENTS