ZEC yafuta uchaguzi mkuu Zanzibar na matokeo yake.

0
664

BREAKINGNEWS3uchaguziMwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha.

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha ametangaza kufuta matokeo ya Uchaguzi Zanzibar, uliofanyika Oktoba 25, 2015.

Jecha amesema kuwa, ZEC imefuta matokeo ya uchaguzi kutokana na kukiukwa kwa sheria na taratibu mbalimbali za uchaguzi wakati wa utekelezaji wa zoezi hilo.

Uchaguzi huo utarudiwa baada ya siku 90.
Chanzo:GPL

NO COMMENTS