YANGA NA SIMBA KATIKA MPAMBANO MKALI UWANJA WA UHURU DAR

0
20

Leo October 28, 2017 ndio unapingwa ule mtanange wa kukata na shoka wa miamba miwili ya soka nchini Tanzania Simba SC na Yanga SC wanaodhaminiwa na Spotpesa. Mpaka sasa timu hizo zimefungana bao 1-1 bao la Yanga limefungwa na Chrwa na la Simba Kichuya.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY