Waziri Mkuu atangazwa Tanzania

0
494

Waziri mkuu Mizengo Pinda

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete amemteuwa Mh. Mizengo Kayanda Pinda kuwa waziri mkuu akiwa ataendelea na nafasi yake hiyo katika awamu ya pili ya rais Kikwete. Pinda amethibitishwa na bunge kwa asilimia 84.5.

NO COMMENTS