Watu nane wafa kwa mvua Dar es Salaam.

0
396

150507144447_bbc_dar_floods_976x549_bbc_nocreditKwa mujibu wa Mwandishi wa BBC Aboubakar Famau aliyepo jijini Dar es Salaam mvua hizo zimekuwa zikinyesha mfulullizo na kusababisha uharibifu mkubwa wa miundo mbinu pamoja baadhi ya watu kukosa makazi yao.Kumekuwa na foleni kubwa ya magari na baadhi ya watu wamechelewa kwenda na kurudi kazini.Mamlaka ya hali hewa nchini imetahadharisha kuwa mvua hizo zinaweza kuendelea japo zitapungua kidogo.
Chanzo:BBCSwahili.

NO COMMENTS