Wakili wa Lissu Fatma Karume baada ya dhamana:Lissu ni shujaa

0
210

Mahakama ya Kisutu imempa dhamana Mhe Tundu Lissu kwa sharti la kuwa na mdhamini mmoja atakayesaini dhamana yenye thamani ya Shilingi milioni kumi, uamuzi uliotolewa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, Wilbard Mashauri.

NO COMMENTS