Waumini wakatoliki wa DMV waadhimisha ibada ya misa ya Kiswahili Baltimore Md.

0
680

IMG_9991Padre Honest Munishi akiongoza ibada takatifu ya misa ya Kiswahili ambayo hufanyika mara moja kwa mwezi katika kanisa katoliki la St.Edwards huko Baltimore Md Jumapili Agosti 30,2015.
IMG_9954Mwenyekiti wa Jumuiya ya wakatoliki DMV Bw.Pius Mutalemwa na mama Mutalemwa wakifuatilia ibada hiyo.
IMG_9952Mrs.Kessi na mwanae wakifuatilia ibada.
IMG_9956Bernadeta Kaiza akiongoza kwaya kwaya ya watoto.
IMG_9975Bw.Stanley akifuatilia ibada hiyo.
IMG_9977Bi.Aireen na wanawe katika ibada.
IMG_9988Katibu Dan Stephen akitoa matangazo.
IMG_9998Bw.Patrick Kajale akitoa mwaliko wa Tamasha la Kiswahili “Swahili Fest”.
IMG_9995Empress Elinita Mhando na mwenetu Simba wakiwa kwenye ibada.
IMG_0015Tukiwasilisha.
IMG_9986Brian akitwanga kinanda.
IMG_9981Mdogo wa Brian akiwa kwenye ngoma.Kwa picha zaidi bofya

IMG_9974
IMG_9987
IMG_9953
IMG_9976
IMG_9984
IMG_0003
IMG_0005
IMG_0006
IMG_0008
IMG_0011
IMG_0019
IMG_0018
IMG_0022
IMG_0024
IMG_0025
IMG_0027
IMG_0029
IMG_0030
IMG_0032
IMG_0033

NO COMMENTS