VIJANA 1000 KUTOKA AFRIKA WALIOKUTANA WASH.DC

0
81

Vijana 1000 waliokuwa katika vyuo mbali mbali nchini Marekani kwa muda wa wiki 6 ikiwa ni mpango ulioanzishwa na rais Baracka Obama ujulikanao kama Mandela Washington Fellow, walikutana kwa semina ya siku 4 iliyokamilika siku ya alhamisi Agosti 3, 2017 katika hoteli ya Marriot Marquiz mjini Washington Dc.

Vijana hawa wametoka katika nchi 49 barani Afrika kusini mwa jangwa la Sahara na wamepitia usaili wa hali ya juu katika nchi wanazotoka kwa jumla waliopeleka maombi walikuwa vijana wapatao 60,000 lakini waliopata nafasi ni vijana 1000 tu kati yao ni hawa wafuatao ambao wanafanya mambo mbali mbali kujisaida wenyewe na jamii zinazowazunguka.
Kwa picha zaidi bofya
NO COMMENTS

LEAVE A REPLY