VIDEO: Aliyoyasema Mbunge Sugu kuhusu Roma, Nape Nnauye na Nay wa Mitego

0
400

April 8, 2017 Waziri kivuli wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Joseph Mbilinyi maarufu Sugu ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya mjini amekutana na Waandishi wa habari Dodoma na kuzungumzia baadhi ya matukio yanayoendelea hivi sasa nchini ikiwemo tukio la tuhuma za kutekwa kwa msanii Roma Mkatoliki na mengine yaliyowatokea Nape Nnauye na Nay wa Mitego.

NO COMMENTS