Vanessa Mdee: Bado nampenda Jux, nitampenda daima (Exclusive)

0
185Vanessa Mdee alipitia Dizzim Online kuzungumza na Skywalker kwenye Chill na Sky na kufunguka kwa undani kuhusiana na kuachana na mpenzi wake Jux. Amezungumza jinsi ambavyo alirekodi wimbo wake Kisela akiwa analia kutokana huzuni kubwa aliyokuwa nayo moyoni kipindi hicho. Nenda hadi dakika ya 13:23 kusikiliza issue ya Jux.

NO COMMENTS