Ujumbe wa Tanzania katika maonyesho ya utalii Las Vegas

0
341


Afisa Ubalozi wa Tanzania Washington DC Bw.Suleiman Saleh (Kushoto) Bw.E.Kishe, Mkurugenzi Mtendaji wa TANAPA, Bw. Aloyce Nzuki, Mkurugenzi Mtendaji wa TTB na Bw. L.Modesto mwenyekiti wa Bodi ya TANAPA.

Kutoka kushoto Suleiman Saleh, Afisa Ubalozi wa Tanzania Washington Dc, Bw.E.Kishe, Mkurugenzi Mtendaji wa TANAPA, Bw. Aloyce Nzuki, Mkurugenzi Mtendaji wa TTB, Bw. L.Modesto, Mwenyekiti wa Bodi ya TANAPA na Bw. Macon ambaye amepanda Mlima Kilimanjaro mara 17.

Mkurugenzi wa TANAPA Bw.Edward Kishe akisalimiana na mkurugenzi wa Utalii wa Misri Bw. Osama Mohamed.

Ujumbe wa Tanzania ulioshiriki katika maonyesho ya Utalii yajulikanayo kama Las Vegas Luxury Travel Show yaliyofanyika Las Vegas,Nevada katika hoteli ya Mandalay Bay na kuvutia nchi na makampuni ya utalii zaidi ya ya 400 mwishoni mwa wiki iliyopita.

NO COMMENTS