Ufisadi ndani ya Simba: Aveva,Kaburu waswekwa rumande

0
171

Rais wa klabu ya Simba, Evans Aveva na Makamu wake, Bw. Geofrey Nyange ‘Kaburu’ wametuhumiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutuya kisutu kwa makosa matano .
Viongozi hao wa juu wa klabu ya hiyo wanatuhumiwa kwa makosa tofauti tofauti likiwemo la utakatishaji fedha ndani ya klabu hiyo.

Kaburu na Aveva kutokana na makosa yao kukosa dhamana wamerudishwa rumande mpaka julai 13 ambapo kesi hiyo itakaposikilizwa tena.

Source: Bongo5

NO COMMENTS