Ubatizo wa mtoto Brayden katika ibada ya Kiswahili Baltimore.

0
113

Marko na Farida na familia  baada ya ubatizo na birthday ya mtoto wao Brayden aliyefikisha miaka miwili katika kanisa katoliki St. Edward Baltimore Md Jumapili Sept.24,2017.

Padre Honest Munishi akimbariza mtoto Braydan wakiwa ameshikiliwa na wasimamizi wake.

Stanley na Irene walibatiza pia mtoto wao.

Balozi Liberata Mula Mula alihudhuria misa hiyo.Nwambata wa kijeshi kwenye Ubalozi wa Tanzania Washington Dc Kanal Mutta akiwa na mgeni wake Meja Jenerali mstaafu Charles Jitenga na mtu na yake Bw.Pius Mutalemwa.
NO COMMENTS