TUNDU LISSU AKAMATWA

0
352

Mwanasheria wa Chadema Tundu Lissu amekamatwa alhamisi Julai 20 katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere alipokuwa akielekea Kigali, Rwanda kwenye katika kiako cha halmashauri ya EALS.
Kamanda wa Polisi wa viwanja vya ndege Martin Otieno amethibitishia gazeti la Mwananchi alhamisi.

Kamanda huyo hakutoa sababu za kukamatwa huko. Hivi karibuni Tundu Lisu alitoa kauli za ukosoaji dhidi ya serikali ya Rais John Magufuli akidai angependa kuona jumuiya ya kimataifa ikiinyima misaada.

Naye mbunge wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe alimkosoa Tundu Lissu kwa kauli hiyo.

NO COMMENTS