TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA YAFANYA KIKAO CHAKE CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI

0
359

1

Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi ambaye ni Katibu wa Tume Bi. Agnes Mgeyekwa akitoa hotuba fupi katika kikao cha Baraza la Wafanyakazi TUMESHERIA.

2

Mwenyekiti wa Tume Mh. Jaji Aloysius Mujulizi akifungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi

3

Wajumbe wa Baraza wakisikiliza hotuba ya ufunguzi wa kikao cha Baraza.

4

Mwenyekiti wa TUGHE tawi la TUMESHERIA Bw. Fredy Kandonga akizungumza katika kikao cha Baraza.

5

Wajumbe wa Baraza wakiwa katika kikao hicho.

6

Katibu wa Kikoa cha Baraza Bi. Marlin Komba akitoa ufafanuzi wakati wa kikao cha Baraza.

7

Wajumbe wa Baraza pamoja na mgeni rasmi Mwenyekiti wa Tume wakiimba wimbo wa Mshikamano katika kikao cha Baraza la wafanyakazi TUMESHERIA .fullshangwe

NO COMMENTS