Tip top connection na Bongo fleva zimepata huu msiba mkubwa leo…

0
434

pipp

Abdul Bonge

Tasnia ya burudani imepata pigo kwa mara nyingine baada ya aliyekuwa meneja na mwanzilishi wa kundi la Tip top connection Abdul Bonge kufariki dunia leo March 28.

Chanzo cha kifo chake bado hakijafahamika endelea kuwa karibu nasi kwa taarifa zaidi.

Taarifa za kifo chake zimeanza kusambazwa leo March 28.

NO COMMENTS