Tanzania watwaa ubingwa wa Cecafa

0
400

Timu ya Taifa ya Tanzania “Kilimanjaro Stars” imefanikiwa kukamilisha sherehe za uhuru wa Tanzania kwa staili ya aina yake baada ya kuwabwaga Ivory Coast 1-0 kwenye pambano la soka la kuwania ubingwa wa CECAFA uwanja wa Taifa Dar es salaam.

Bao la ushindi lilipatikana kwa njia ya penalti iliyowekwa nyavuni na Shdrack Nsajigwa kunako dakika ya 31.

Timu ya taifa ya Uganda The Cranes wamechukua nafasi ya tatu bada ya kuwafgunga Ethiopia.
Kwa habari zaidi www.michuzi.com

NO COMMENTS

  1. Great oumed oukri, i have many thanks for your mined to lead your both foot and spaciel respection for Shimelis,if you remember in a friendly match with the great Keniya you have lost 3 to nill so tomorrow is the time to revange that okay? i can see 3 goals in the keniyans net, 2 sent by oumed and 1 by Adane Giram’s golden foot and also in our net too. please the goal kipper it is a shame to invite a defeat to your country use your eye wow !