Tanzania bado ina changamoto Kikwete kachaguliwa kwa 26%-Lipumba

0
365

Katika kuadhimisha miaka 49 ya uhuru wa Tanzania Prof Ibrahim Lipumba aeleza tahmini ya uchumi wa nchi na changamoto zilizopo na kulaumu pia mfumo wa uchaguzi akisema Kikwete kachaguliwa kwa asilimia 26 tu ya watanzania.
Bofya hapa

Kwa habari zaidi ingia www.voaswahili.com

NO COMMENTS