TAKUKURU YABAINI WATUMISHI HEWA JIJINI MWANZA.

0
456
Taasisi ya kuzuia na Kupambana na rushwa Takukuru
Mkoani Mwanza, Mhandisi Ernest Makale, akitoa taarifa kwa wanahabari juu ya utendaji wa taasisi hiyo kwa kipindi cha miezi mitatu iliyopita ambapo imebainika kuwepo kwa watumishi hewa wengine katika halmashauri ya Jiji la Mwanza.
Bonyeza HAPA Kusikiliza Au Play Hapa Chini.
 Kutazama Picha Bonyeza HAPA

NO COMMENTS