Taifa Stars yawapa Watanzania zawadi ya uhuru

0
918

(Picha kwa hisani ya michuzi).
Timu ya taifa ya Tanzania “Kilimanjaro Stars” imewapa zawadi watanzania baada ya kuibwaga Uganda Cranes kwa bao 5-4 kwa njia ya mikwaju ya penalti katika mchezo uliofanyika kwenye uwanja wa taifa Ijumaa. Kilimanjaro Stars itakutana na Ivory Coast katika mchezo wa fainali katika mchuano wa Tusker Challenge cup siku ya Jumapili Desemba 12.

SHARE
Previous article
Next articleTanzania watwaa ubingwa wa Cecafa

NO COMMENTS