TAARIFA YA MSIBA DMV NA TANZANIA

0
700

nemboUBALOZI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WASHINGTON, D.C.

Nyami
Mheshimiwa Wilson M. Masilingi, Balozi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania nchini Marekani, anasikitika kutangaza kifo cha Bi. Nyamiti Ivan Lusinde, aliyekuwa mfanyakazi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Washington DC.

Bi. Nyamiti Ivan Lusinde alifariki dunia Jumanne tarehe 17 Novemba, 2015 Dar Es Salaam, Tanzania ambapo alikuwa likizo yake ya mwaka.

Kitabu cha rambirambi kipo nyumbani kwa marehemu
20408 Honey Crisp Lane, Apartment E
Germantown, MD 20876

Maelezo zaidi kuhusu taratibu za mazishi yatatolewa mara baada kupokea taarifa zaidi kutoka nyumbani Tanzania.

NO COMMENTS