Taarifa muhimu- Pasi ya kusafiria (Tanzanian passport)

0
404

Jumuiya inapenda kuwatangazia watanzania wa eneo la ‘Washington State’ na maeneo ya Idaho, Oregon.
kujiandikisha kwa wingi wale wote wenye kuhitaji kuomba PASSPORT MPYA YA TANZANIA kama ifuatavyo:
Siku ya mwisho kujiandikisha ni Tarehe 5/6/2015 (June 5th, 2015)
Siku ya kuonana na Ofisa wa Uhamiaji kutoka Ubalozi wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania kwa ajili ya maombi hayo ni Tarehe 26/6/2015 – Taarifa ya pahala itatolewa rasmi..
Tafadhali wasiliana na wafuatao kujiandikisha rasmi:
Emil Muta – Mwenyekiti Tanzaseattle – simu – 206 291 8835
Haji Rajab Haji – Katibu Tanzaseattle – 206 302 9404

Au
Unaweza kutuma barua pepe (email) – Tanzaseattle @gmail.com
Ahsanteni sana.
Mkuu wa Kitengo cha Habari – Tanzaseattle.
A. DOLA – aka (Mayor of Seattle) – 206 422 3050.

NO COMMENTS