SUNDAYSHOMARI BLOG INAWATAKIA FURAHA NJEMA YA SIKU YA IJUMAAA KUU LEO NA PASAKA NJEMA

0
1126

images

Msomaji wa Sundayshomari blog leo ni siku ya Ijumaa kuu  mtandao huu unaungana  na wakristo wote Duniani katika kuadhimisha siku hii pamoja na sikukuu ya Pasaka.

Mtandao huu unawatakia Sikukuu njema, sherehe njema na tuiadhimishe kwa amani.

 

NO COMMENTS