Sumaye atoa ya moyoni kuhusu serikali ya Magufuli.

0
202


Waziri mkuu wa zamani Frederick Sumaye alipotoa ya moyoni kuhusu mashamba yake aliyanyang’anywa na serikali ya Tanzania. Shamba alilodaiwa hakuliendeleza lakini alnasema lilikuwa na mipango mikubwa ya baadaye kati yao na wadau wa nje kujenga chuo kikuu.

NO COMMENTS