SUALA LA MTOTO DIAMOND NA MOBETO LASULUHISHWA USTAWI WA JAMII

0
74


akata la matunzo ya mtoto lilikuwa kikiwakabili mastaa wawili Naseeb Abdul ‘Diamond’ na Hamisa Mobeto leo liliingia Mahakakama ya Kisutu jijini Dar kitendo cha Ustawi wa Jamii upande wa watoto ambapo wanahabari hawakuruhusiwa kuingia kusikiliza majadiliano hayo.

Mobeto upande wake naye alisema kuwa suala la malezi ya mtoto huyo wameshalimaliza hivyo hakupenda kuongea zaidi na kuingia ndani ya gari alilokwenda nalo na kumuacha Baba Mtoto wake huyo viwanja vya mahakama hiyo.
HABARI/PICHA KWA HISANI YA GPL

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY