Stevie Wonder afunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi

0
209

Mwanamuziki mkongwe duniani Stevie Wonder, amefunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi Tomeeka Bracy.

Chanzo cha karibu kimelieleza gazeti la The Sun la nchini Marekani kuwa “It was a very lavish, romantic and star-studded affair. Stevie’s musical pals each got up on stage to take turns serenading the couple, much to the delight of the other guests. Then Stevie got up to sing for his new bride.”
Katika harusi hiyo mkali wa RnB John Legend, aliweza kutoa burudani katika harusi hiyo, Stevie(67) na Tomeeka(43) wamekuwa kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitano na wame bahatika kupata watoto wawili huku masanii huyo akiwa na watoto tisa.

NO COMMENTS