Steve Harvey afanya “blunder” la aina yake Miss Universe.

0
458

Harvey
Mc wa shughuli ya Miss Universe Steve Harvey usiku wa Jumapili alifanya “blunder” ya aina yake ya kufunga mwaka 2015, baada ya kumtangaza mshindi wa tatu(Miss Columbia) kuwa ndio mshindi wa kwanza wa Miss Universe na huku akiwa ameshavishwa taji lake akaomba msamaha na kusema alikuwa amekosea.

Hii haijawahi kutokea kwenye historia ya mashindano haya na kwanza watazamaji walifikiri Steve anafanya mzaha lakini haikuwa hivyo.

Aliomba radhi pale pale na kuonyesha kilichoandikwa kwenye kadi ya washindi na kumtangaza Miss Phoilipine kuwa ndiye mshindi.
Hii ni kali ya kufungia mwaka.

NO COMMENTS