Wednesday, January 17, 2018
Skylight Band inakukaribisha leo Thai Village kabla ya kuelekea jijini Arusha Jumapili...

Skylight Band inakukaribisha leo Thai Village kabla ya kuelekea jijini Arusha Jumapili hii

0
636

IMG-20150402-WA0076

John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47 (kulia)

Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47(katikati) akiimba na wenzake ambao ni Sam Mapenzi(kulia) pamoja na Ashura Kitenge (kushoto)

Aneth Kushaba AK 47 akiimba kwa hisia kubwa mbele ya mashabiki wake (hawapo pichani) kwenye kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar

Waimbaji wa Skylight Band wakisakata rhumba

John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar


Waimbaji wa Skylight Band wakiimba kwa pamoja moja ya nyimbo za bendi yao

Mwimbaji wa Skylight Band Sony Masamba akiimba na kucheza pamoja na Aneth Kushaba AK 47(kulia) pamoja na Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower(kushoto)
Hapa ilikuwa ni kusugua mpaka utakate tu, njoo leo ujifunze style ya kusugua mpaka ujue.

Waimbaji wa Skylight Band wakiendelea kutoa burudani mbele ya mashabiki wao(hawapo pichani)

Ni mwendo wa Bolingo tu mpaka kuchweee

Rapa wa Skylight Band Sony Masamba akitoa burudani kwa hisia kali ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar

Binti mrembo mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni Ashura Kitenge akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) huku akipewa sapoti na Sam Mapenzi katika show yao ya Ijumaa iliyopita ndani ya koita cha Thai Village-Masaki.  

Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower akishusha mistari na kucheza huku waimbaji wenzake Sony Masamba (katikati) na Sam Mapenzi wakisebeneka Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.

DSC_0251
Sugua sugua mpaka utakate ni nomaaaama saaanaa karibu leo kuna mambo  mazuri ndani ya Skylight Band
Warembo nao hawakuwa nyuma 
Skylight Band ni mwendo wa kutoa raha sana tukutane Ijumaa hii ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar kwa kuburudika na band hii

Mashabiki wakionekana kukunwa na burudani ya Skylight Band.

Waimbaji wa Skylight Band wakiimba sambamba na mashabiki wao ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar

Waimbaji wa Skylight Band wakizirudi sebene zilizokuwa zikiimbwa na Joniko Flower

Mashabiki wa Skylight Band wakijimwaga kwa raha zao.

Ni mwendo wa kuzirudi 

NO COMMENTS