Sherehe ya kuadhimisha miaka 75 ya Mzee Kalala Dc

0
412


Mzee Yussuf Kalala na Mh.balozi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania katika kusherehekea miaka 75 ya kuzaliwa mzee Kalala.

Mh.balozi akiwa na Rahima na Farida watoto wa mzee Kalala na Mzee Kalala na mkewe Anti Shariffa Kalala.

Bi Kwizela a.k.a Lady Gaga wa Tanzania nae alikuwamo na Bi. Mina
NO COMMENTS