Serikali Marekani yamchagua David Kafulila kwa mafunzo maalum.

0
181

Hivi karibuni aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila alisifiwa na rais Magufuli kutokana na kuliibua sakata la Tegeta Escrow ambalo baadaye lilikuwa gumzo kubwa na kupelekea hata kufanywa uchunguzi na wahusika kufikishwa Mahakamani.
Jambo lingine kutoka kwa Kafulila ni kwamba amechaguliwa na nchi ya Marekani kufanya ziara ya mafunzo ya masuala ya uwazi na uwajibikaji kwa muda wa wiki tatu.
Ayo TV na millardayo.com zimempata Kafulila kwenye Exclusive interview na kuelezea kuhusu kuitwa huko.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY