Samatta, Olunga na Onyango kuwania taji la mchezaji bora Afrika

0
78

Winga wa Algeria na Leicester Riyad Mahrez ndio bingwa mtetezi wa taiji hilo baada ya kumshinda Pierre Emerick Aubameyang na Sadio Mane. Sherehe hiyo itafanyika tarehe 4 siku ya Alhamisi 2018 mjini Accra, Ghana.
Walioteuliwa katika orodha hiyo ni:
1. Ali Maaloul (Tunisia na Al Ahly)
2. Bertrand Traore (Burkina Faso na Lyon)
3. Cedric Bakambu (DR Congo na Villareal)
4. Christian Atsu (Ghana na Newcastle)
5. Christian Bassogog (Cameroon na Henan Jianye)
6. Denis Onyango (Uganda na Mamelodi Sundowns)
7. Eric Bailly (Cote d’Ivoire na Manchester United)
8. Essam El Hadary (Egypt na Al Taawoun)
9. Fabrice Ondoa (Cameroon na Sevilla)
10. Fackson Kapumbu (Zambia na Zesco)
11. Jean Michel Seri (Cote d’Ivoire na Nice)
12. Junior Kabananga (DR Congo na Astana)
13. Karim El Ahmadi (Morocco na Feyenoord)
14. Keita Balde (Senegal na Monaco)
15. Khalid Boutaib (Morocco na Yeni Malatyaspor)
16. Mbwana Samata (Tanzania na Genk)
17. Michael Olunga (Kenya na Girona)
18. Mohamed Salah (Egypt na Liverpool)
19. Moussa Marega (Mali na Porto)
20. Naby Keita (Guinea na RB Leipzig)
21. Percy Tau (South Africa na Mamelodi Sundowns)
22. Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon na Borussia Dortmund)
23. Sadio Mane (Senegal na Liverpool)
24. Thomas Partey (Ghana na Atletico Madrid)
25. Victor Moses (Nigeria na Chelsea)
26. Vincent Aboubakar (Cameroon na Porto)
27. William Troost-Ekong (Nigeria na Bursaspor)
28. Yacine Brahimi (Algeria na Porto)
29. Youssef Msakni (Tunisia na Al Duhail)
30. Yves Bissouma (Mali na Lille)

NO COMMENTS