Sakata la Kuachia Madaraka, Rais Zuma Ahojiwa na SABC

0
38

KUFUATIA vuguvugu la kumung’oa madarakani, Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma mefanya mahojiano ya moja kwa moja na Shirika la Habari la Taifa nchini humo, SABC na kusema hajafanya kosa ambalo linasababisha alazimishwe kuondoka madarakani.

Februari 12,2018 Chama chake tawala cha ANC kilitoa tamko kumtaka kujiuzulu ndani ya saa 48 kufuatia tuhuma za rushwa na matumizi mabaya ya madaraka zinazomkabili ambapo Bunge la nchi hiyo kujaribu kupiga kura za maoni ili kumuondoa lakini ilishindikana.
GPL

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY