RC Makonda noma!

0
424

Dar es salaam. Wakati Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatoa agizo la kukamatwa abiria wanaopanda bodaboda bila kuvaa kofia ngumu ili washtakiwe kwa kutaka kwa kutaka kujiua, ilionekana kama mzaha lakini watu wameanza kuonja shubiri yake.

Polisi Mkoa wa Kipolisi Temeke inawashikilia zaidi ya watu 40 kwa tuhuma za kutovaa kofia kofia ngumu wakati wakisafiri kwa pikipiki.kofia3

Kamanda wa polisi wa mkoa huo, Gilles Muroto aliliambia gazetihili jana kuwa, watuhumiwa hao wakiwamo waendesha bodaboda, walikamatwa kwa nyakati tofauti tangu msako uanze juzi.

Chanzo: Mwananchi

NO COMMENTS