RAIS OBAMA KUZURU KENYA JULAI 2015.

0
332

uhuru
Rais Barack Obama wa Marekani ametangaza leo kwamba atatembelea nchini Kenya mwezi Julai , 2015. Alitangaza taarifa hiyo kupitia mtandao wake wa Twitter kwamba atahudhuria mkutano wa kibiashara wa Ulimwengu huko Nairobi Kenya.

Rais Obama alitembelea Tanzania katika ziara yake barani Afrika 2013 na kutokwenda Kenya lakini aliahidi atakwenda huko kabla ya kumaliza muda wake madarakani. Obama alitembelea Kenya mwaka 2006 akiwa seneta.

NO COMMENTS