RAIS MUSEVENI AWASILI DAR ES SALAAM KWA ZIARA RASMI YA KISERIKALI YA SIKU MBILI

0
270

Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni akipokea shada la maua mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kuanza ziara rasmi ya kiserikali ya siku mbili leo Februari 25, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni alipowasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kuanza ziara rasmi ya kiserikali ya siku mbili leo Februari 25, 2017.

NO COMMENTS