RAIS MAGUFULI AWASILI ZANZIBAR

0
62

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewasili Zanzibar kwaajili ya kuadhimisha kumbukumbu ya Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere,pamoja na kushiriki kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY