Rais Magufuli akutana na viongozi na wawakilishi wa Umoja wa sekta binafsi nchini Tanzania.

1
475

jpm1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Viongozi na Wawakilishi wa
Umoja wa Sekta Binafsi nchini (Tanzania Private Sector Foundation – TPSF) katika ukumbi wa mkutano wa Ikulu jijini Dar es salaam alhamisi Desemba 3, 2015.

jpm2

1 COMMENT

Comments are closed.