Rais Kikwete azindua kiwanda cha Saruji cha Dangote.

0
544

d38Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Alhaj Aliko Dangote wakikata utepe kuashiria kuzindua rasmi kiwanda cha saruji cha Dangote ambacho ni kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015

d39Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Alhaj Aliko Dangote wakifunua pazia kuashiria kuzindua rasmi kiwanda cha saruji cha Dangote ambacho ni kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015

NO COMMENTS