Rais Kikwete azindua kitabu cha wasifu wake

0
674


Profesa Julius Nyang’oro ambaye ndiye mwandishi wa kitabu hicho cha Jakaya Kikwete ambaye pia ni mhadhiri katika chuo kikuu cha North Carolina (UNC) Marekani (kulia) akiwa na Rais Kikwete kwenye uzinduzi wa kitabu hicho Ikulu Daressalaam. (Picha kwa niaba ya Michuzi).

Bi Emma Kasiga kutoka Minnessota Marekani ambaye alikuwa mmoja wa wanafunzi wa Prof.Nyang’oro (kulia) akiwa na dada yake Mindy Kasiga wakisalimiana na katibu mkuu wa Ikulu Bw. Michael Mwanda (wa tatu kulia) na waheshimiwa wengine waliohudhuria sherehe hizo za uzinduzi Ikulu jijini Daressalaam.

NO COMMENTS