RAIS KIKWETE AWEKA SHADA LA MAUA KABURI LA MASHUJAA, ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA TAIFA YA ALGERIA.

0
470

IMGM0221Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua kwenye kaburi la Mashujaa wa Algeria, leo Jumapili, Mei 10, 2015. Rais Kikwete yupo nchini Algeria kwa ziara ya siku tatu.

NO COMMENTS