Wednesday, October 18, 2017
Rais Kikwete aelekea nchini Marekani kwa mwaliko wa Umoja wa Mataifa

Rais Kikwete aelekea nchini Marekani kwa mwaliko wa Umoja wa Mataifa

0
320

Jakaya-Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka nchini usiku wa jana, Jumamosi, Machi 28, 2015 kwenda Marekani kwa mwaliko wa Umoja wa Mataifa.

Miongoni mwa mambo mengine, Rais Kikwete amealikwa kuhutubia Baraza la Umoja wa Mataifa la Uchumi na Jamii (ECOSOC – UN).

 

Imetolewa na:

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,

Ikulu,

DAR ES SALAAM.

29 Machi, 2015

NO COMMENTS