Rais Jakaya Kikwete ateuliwa katika Kamisheni ya elimu duniani

0
630

Rais Jakaya kikwete
Rais Jakaya kikwete

Mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Elimu, Gordon Brown ametangaza kuwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzania ameteuliwa kushiriki katika Kamisheni ya kimataifa ya elimu na fursa iliyopatiwa jukumu la kuangalia jinsi ya kufanikisha upatikanaji wa elimu duniani huku ikichagiza malengo ya maendeleo endelevu.

NO COMMENTS