RAIS DKT MAGUFULI AAGANA NA MGENI WAKE RAIS KAGAME WA RWANDA BAADA YA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MOJA

0
61


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mazungumzo rasmi na Rais Paul Kagame wa Rwanda na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 14, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza mgeni wake Rais Paul Kagame wa Rwanda baada ya ziara yake ya kikazi ya siku moja nchini leo Januari 14, 2018.

Rais Paul Kagame wa Rwanda akiagana na viongozi mbalimbali baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi ya siku moja nchini Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 14, 2018 Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 14, 2018.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY