PROFESA JAY ALIPOFANYA MAHOJIANO NA VOA

0
558
Profesa Jay akiwakilisha
Profesa Jay akiwakilisha
Profesa Jay na mkuu wa Idhaa ya Kiswahili-VOA Mwamoyo Hamza
Profesa Jay na mkuu wa Idhaa ya Kiswahili-VOA Mwamoyo Hamza

Mwanamuziki mashuhuri wa Tanzania na Kusini mwa jangwa la Sahara Profesa Jay alitembelea Sauti ya Amerika hivi karibuni akiwa kwenye ziara yake hapa Marekani.

Nilipata fursa ya kuzungumza nae na kwa kupata utamu wa mahojiano hayo kwa ujumla unaweza kuungana nami hapa usikilize tukizungumza masuala mbali mbali kuhusiana na muziki wake .

Parofesa Jay bado yupo nchini Marekani akiendeklea na zaiara yake akiwa hivi sasa ameshapagawisha maeneo kadhaa ikiwa ni pamoja na Dallas Texas, Boston Massachusetts, Washington Dc n.k

Profesa ameniweka kati na kulia ni Dj Richard walipotembelea VOA
Profesa ameniweka kati na kulia ni Dj Richard walipotembelea VOA

NO COMMENTS