Wednesday, July 26, 2017
Blog Page 3
Msanii Vanessa Mdee akiwa jukwaani akiwakonga mashabiki.  Msanii Diamond Platinumz akiwa katika jukwaa la castle lite unlocks akiwakonga wapenzi wa burudani  usiku wa kuamkia leo Msanii Casper Nyovest akiwa jukwaani akiwakonga mashabiki. Msanii toka Marekani FUTURE akiwa jukwaani kwenye tamasha kubwa la...
https://youtu.be/dStYfQ-D7mY
Mama Mzazi wa Zari ambae ni Mama watoto wa mwimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz amezikwa jana nyumbani kwao Uganda. Familia yake ilipata nafasi ya kuzungumzia historia yake kwa ufupi na chanzo cha kifo chake na kusema alifariki kutokana na ugonjwa...
Mwanamuziki mkongwe duniani Stevie Wonder, amefunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi Tomeeka Bracy. Chanzo cha karibu kimelieleza gazeti la The Sun la nchini Marekani kuwa “It was a very lavish, romantic and star-studded affair. Stevie’s musical pals each...
Mahakama Kuu ya Tanzania imetupilia mbali rufaa iliyofunguliwa na kampuni ya Tigo kupinga kuwalipa wasanii AY na MwanaFA shilingi 2,185,000,000 (zaidi bilioni mbili) kwa kutumia nyimbo za wasanii hao bila kuwalipa. Wakili wa wasanii hao, Albert Msando amesema huu ni...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limesogeza mbele michuano ya kombe la mataifa bingwa Afrika mwaka 2019 kufanyika mwezi Juni na Julai badala ya Januari na Februari kama ilivyozoeleka. Mabadiliko hayo yamefanywa ili kuepusha migongano ambayo hujitokeza mara kwa...
https://youtu.be/p2tALz8wQkg Vanessa Mdee alipitia Dizzim Online kuzungumza na Skywalker kwenye Chill na Sky na kufunguka kwa undani kuhusiana na kuachana na mpenzi wake Jux. Amezungumza jinsi ambavyo alirekodi wimbo wake Kisela akiwa analia kutokana huzuni kubwa aliyokuwa nayo moyoni kipindi...
  Mwenyekiti wa Chama cha Maafisa Mawasiliano wa Serikali, (TAGCO), ambaye amemaliza muda wake, Bw. Innocent Mungy, (wapili kulia), akimkabidhi nyaraka za chama, Katibu Mkuu mpya wa chama hicho, Bw. Abdulm Njaidi. (wapili kushoto), ikiwa ni ishara ya kukabidhi rasmi majukumu ya kiuongozi jijini...