Thursday, August 17, 2017
Blog Page 211
Drake mwenyeji wa Canada amekubalika Marekani na kuchukua tuzo ya mwanamuziki bora wa kiume wa Hip Hop .
Nick Minaj ashinda tuzo ya mwanamuziki bora wa kike wa  Hip Hop na pia mwanamuziki mpya.
Trey Songz ashinda tuzo ya mwanamuziki bora wa R&b wa kiume.
Timu ya taifa ya Ghana Black Stars imeitoa Afrika kimaso maso Afrika aada ya kuifunga Marekani mabao 2-1 katika raundi ya pili ya kombe la dunia.  Ilikuwa ni Ghana iliyokuwa ya kwanza kuuona mlango wa Marekani kupitia kwa Kevin Prince...