Wednesday, July 26, 2017
Blog Page 192

Wakongwe wa VOA walipokutana Mkuu mstaafu wa idhaa ya Kiswahili Jenkins Muganda na mtangazaji mwandamizi wa idhaa hiyo Abdulshakur Aboud. Bw. na Bi Mushala ndani ya ukumbi. Balozi wa Tanzania Washington Dc Mwanaidi Maajar akiwa na Abdul shakur Aboud pamoja nami. Mzee...
Mwanamuziki mkongwe wa rap Eminem ameweka historia ya aina yake katika tuzo za Grammy baada ya nyimbo zake 10 kuteuliwa kuwemo kwenye kinyan'ganyiro cha tuzo hizo. nyimbo hizo ni pamoja na : Rekodi ya mwaka- I Love the Way you...
Mwendesha mashitaka wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu amesema karibi atatoa majina ya watu wanaoshukiwa kuhusika na ghasia za baada ya uchaguzi wa 2008. Luis Moreno Ocampo aliuambia mkutano huko Nairobi Alhamisi kwamba atafungua kesi dhidi ya watu sita...
Shirikisho la soka duniani Fifa limetangaza Russia kuwa mwenyeji wa kombe la Dunia 2018. Kwa mujibu wa Aljazeera Russia iliwashinda Uingereza. Na wakati huo huo kwa mara ya kwanza wametangaza mashariki ya kati kuwa mwenyeji wa kombe la dunia 2022...
Ikiwa leo Desemba 1 ni siku ya Ukimwi duniani rais wa Marekani Barack Obama ameshiriki kushiriki kwenye hafla ya kuadhimisha siku ya Ukimwi duniani. Kwa mujibu wa sauti ya Amerika katika tangazo lililotolewa Jumanne Bw. Obama aliahidi kutoa msaada kwa...
Lebron James mambo bado huko Miami. Kocha wa Miami Heat Erick Spoelstra. Timu ya mpira wa kikapu ya Miami Heat ya huko Florida hapa Marekani imejikuta ikiwa na kibarua kigumu cha kujipanga upya baada ya kushindwa kuonyesha makeke yeyote katika michuano...
Mambo yalipamba moto ndani ya Lux Lounge Washinton Dc.Washabiki wa Dj Joe wakirusha miguu kwa staili.Dj joe baada ya kufanya vitu vyake. Dj Joe (kulia) akiwa na Boni a.k.a The smoove. Boni akiwa ndani ya DC alipotembelea red carpet...
Tovuti ya Wikileaks, imeanza kuchapisha maelfu kwa maelfu ya nyaraka za siri kati ya balozi za Marekani kuhusu viongozi wakuu duniani na kuelezea mbinu za Marekani za kidiplomasia zinazolenga Afghanistan, Iran na Korea kaskazini. Baadhi ya mawasiliano yaliyochapishwa...
Rais Yoweri Museveni katika magwanda ya jeshi akipeana mikono na rais Sheikh Shariff sheikh Ahmed wa Somalia na viongozi wengine ndani ya Mogadishu.

Rihana anatamba na nyimbo mbili zikishika nafasi ya 7 na ya 2 kwenye chati za Billboard. Kumi bora kwa mujibu wa jarida la Billboard wiki hii ni kama ifuatavyo katika nambari 10 wapo kundi la Black Eyed Peas na wimbo...