Olimpiki Rio 2016: Ginny Thrasher ajishindia dhahabu Rio

0
246

Mmarekani Ginny Thrasher amekuwa mwanamichezo wa kwanza kushinda dhahabu katika Michezo ya Olimpiki Rio baada ya kutwaa ushindi katika shindano la kulenga shahaba kwa bunduki kutoka mita 10 upande wa wanawake.

Huo ndio ushindi wa kwanza katika shindano kubwa la kimataifa kwa mwanamichezo huyo wa umri wa miaka 19.

Thrasher alipata alama 208.0 huku bingwa wa dunia mwaka 2006, Mchina Du Li akishinda fedha.

Mchina mwingine Yi Siling, ambaye athe defending champion, took bronze.

Chanzo: BBC Swahili_90697303_thrasher_getty

NO COMMENTS