Ney wa mitego afungiwa kujihusisha na muziki

0
844

Rapa wa muziki wa kizazi kipya nchini Ney wa Mitego amefungiwa kujihusisha na muziki kwa kipindi cha kisichojulikana na muziki kwa kipindi kisichojulikana kufuatia wimbo wake alioutoa hivi karibuni.

Wimbo huo unaitwa “Pale kati patamu”.

Akizungumzia katibu wa mtendaji wa Basata, Godfrey Mngereza amesema Ney anatakiwa pia kulipa faini ya sh 1 Milioni.

Chanzo: MwananchiNEY+PICHA

NO COMMENTS