NAMNA YA KUTUMIA FIMBO YA KUTEMBELEA.

0
549

Fimbo yaweza tumika na wazee au watu wa umri wowote wenye uhitaji  wa kuimarisha msingi kabla ya kupiga hatua ili kupunguza  atari za kuanguka. Vilevile, fimbo husaidia  kupunguza mwelemeo ambao hutua katika viungo vya mwili kama magoti ,mgongo na hips ambao ni naweza ongeza maumivu hasa kwa watu wenye arthritis na maumivu ya mgongo na maumivu mengine.


Fimbo hii huweza kukunjika na kukaa ndani ya 

Fimbo ya kutembelea hutakiwa kuwa na urefu wa kutosha ili kuepuka kuinama na kuumiza mgongo.
Urefu  sahihi watakiwa kufikia eneo la kiuno kwa mtu anayeitumia

Watu wenye matatizo ya usawa(balance ) huitaji mwangaza wa kutosha ili kuepuka ongezeko la atari za kuanguka.

Mwangaza wa kutosha kuona unapokwenda

Waweza pata fimbo ya kutembelea katika duka lolote la vifaa vya afya. 
Fimbo yenye taa huondoa kadhia za kubebana na tochi. Ni vyema mkono uwe huru kusaidia mtu ambaye tayari ana udhaifu endapo utahitajika mara .  

NAMNA YA KUTUMIA FIMBO YA KUTEMBELEA

  • Fimbo ya kutembelea uhitaji kukaa upande wa mwili ulio na nguvu na sio upande ulio dhaifu ( wako wengi wenye kufanya kosa la kuiweka fimbo upande dhaifu)

  • Baada ya kuweka fimbo  upande wenye nguvu, sogeza fimbo na  mguu mdhaifu kwanza kisha sogeza mguu wenye nguvu. Hivyo fimbo na mguu dhaifu huambatana   ili kuwezesha kama asemavyo mtaalam wa mazoezi ya kimwili ‘Brian Benjamin’

  • Weka fimbo umbali wa inchi 2 mbele au pembeni mwako na sio mbali nawe.
  • Fimbo yenye urefu sahihi ni fimbo yenye kufika eneo la kiuno

  • PANDA NGAZI; Wakati wa kupanda ngazi panda na mguu wenye nguvu kwanza, ukifutia mguu wenye udhaifu pamoja na fimbo
  • SHUKA NGAZI; Shusha kwanza mguu dhaifu, ukifuatiwa na fimbo, kisha  weka mguu wenye nguvu ( kumbuka;juu nenda na mguu imara, chini shuka na mguu mbovu)
  • Hakikisha umeondoa vizuizi vinavyowezachangia atari za kuanguka kama mkeka, nyaya za umeme, maji maji na furniture zilizo kwenye njia.

Shukrani;
.seniorhealth365.com.

NO COMMENTS